Jinsi ya kuunlock Huawei E5221s-2 Tigo Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni mini wifi router Huawei E5221s-2 ya mtandao wa Tigo ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo huwezi kutumia laini ya mtandao mwingine.
Kwa kushirikiana na team ya fahusvera utaweza kuunlock router yako na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei E5221s-2 Tigo Tanzania itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na paste kwenye browser yoyote ile ya computer yako.
> Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
3. Weka NCK Unlock Code nilizokutumia kisha bonyeza "Apply".
Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock router yako ya E5221s-2 na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Enjoy!
Post a Comment