Jinsi ya kuunlock Alcatel X080S itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu. Ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel Onetouch X080s
na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch X080S itumie mitandao yote
1. Weka laini ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itakuomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
5. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock modem yako ya Alcatel Onetouch X080S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment