Jinsi ya kuunlock E153u-1 itumie mitandao yote
Hii ni modem ya Huawei E153u-1 ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuandikia invalid SIM Card
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E153u-1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E153u-1 itumie mtandao wowote
A. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
B. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
C. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
D. Soma maelezo yaliyopo ya PDF kwenye File
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E153u-1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Tags: Jinsi ya kuunlock E153u-1, Jinsi ya kuunlock Huawei E153u-1, namna ya kufungua E153u-1 itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E153u-1, how to unlock E153u-1, how to unlock Huawei E153u-1, Download E153u-1, E153u-1 firmware, Download E153u-1 Firmware, Download firmware for E153u-1, Download Huawei E153u-1 Firmware
Post a Comment