Jinsi ya kuunlock E5377Bs-508 Glo itumie mitandao yote
Hii ni router ya Huawei E5377Bs-508 ya mtandao wa Glo ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5377Bs-508 Glo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei E5377Bs-508 Glo itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5377Bs-508 Glo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment