Jinsi ya kuunlock Blackberry Classic itumie mitandao yote
Hizi ni simu ambazo zimefungwa ili ziweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine, inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry Classic na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Baada ya kutumiwa NCK Code, Fanya yafuatayo;
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha bonyeza kitufe cha Power ON
2. Ingia Settings >>>>>>> Security & Privacy >>>>>> SIM Card
3. Bonyeza "Unlock Network"
4. Weka "NCK Code" (ulizotumiwa)
5. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Blackberry Classic na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Post a Comment