Namna ya kuunlock E303s-1 Tigo Tanzania Itumie mitandao yote

Hii ni modem iliyofungwa na kampuni ya Tigo ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu. 

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Huawei E303s-1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock Huawei E303s-1 Tigo Tanzania
1. Chomeka modem yako ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine. Install drivers baada ya hapo itafunguka dashboard ya Tigo, ifunge
2. Fungua Huawei Code Calculator. Weka IMEI Number kisha bonyeza Calcaculate (Kupata IMEI Number, fungua mfuniko wa modem yako). Nukuu Flash Code

3. Extract na Run E303s-1 Unlocked Firmware. Bonyeza Start baada ya hapo itaomba Password. Weka Flash code ulizozipata kwenye hatua namba 2

Iache mpaka imalize kuunlock. Ikimaliza Chomoa na chomeka tena modem yako kwenye computer. 

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umeweza kuunlock modem yako ya Huawei E303s-1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock Huawei E303s-1 itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock E303s-1 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock E303s-1 Tigo itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E303s-1 Tigo Tanzania, jinsi ya kufungua E303s-1 Tigo itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock modem ya Tigo E303s-1, namna ya kufungua modem ya Tigo E303s-1, how to unlock E303s-1 Tigo Tanzania, how to unlock Huawei E303s-1, how to unlock Huawei E303s-1 Tigo Tanzania

1 comment: