Jinsi ya kuunlock ZTE R207-z Vodafone South Africa
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE R207-z Vodafone South Africa na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Vodafone ZTE R207-z South Africa itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install R207-z Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE R207-z South Africa na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment