Jinsi ya kuunlock R207-z Vodafone Vodacom Tanzania
Hii ni router ya Vodacom Tanzania R207-z ambayo imetengenezwa ili uweze kutumia SIM Card ya Vodacom tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code ambazo ni 16 digits.
Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua router yako ya R207-z Vodacom Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock R207-z Vodafone Vodacom Tanzania itumie mitandao yote
1. Install Vodafone drivers kwenye computer yako. Ikimalizika bonyeza finish
2. Fuata maelekezo yaliyomo kwenye file
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock R207-z Vodafone Vodacom Tanzania
Utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka. Enjoy!
Tags: Jinsi ya kuunlock R207-z itumie mitandao yote, namna ya kufungua R207-z itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock R207-z Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kufungua R207-z Vodacom Tanzania itumie mitandao yote, how to unlock R207-z Vodacom Tanzania, how to unlock R207-z, namna ya kuunlock router ya Vodacom R207-z, R207-z, how to unlock ZTE R207-z Vodacom Tanzania
Post a Comment