Jinsi ya kuunlock Itel Vision 5 Plus itumie mitandao yote

Hii ni simu inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera utaweza kuunlock simu yako ya Itel Vision 5 Plus itumie mitandao yote

Waiting Time: 1min - 5mins

Namna ya kuunlock Itel Vision 5 Plus itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Itakuomba uweke NCK Code
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Itel Vision 5 Plus na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

No comments