Jinsi ya kuunlock Alcatel HUB40 Orange Egypt itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HUB40 Orange Egypt na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch HUB40 Orange Egypt itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafungua browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba SIM Lock Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HUB40 Orange Egypt na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Post a Comment