Jinsi ya kuunlock SM-LT300 Smile itumie mitandao yote
Hii ni router ya kampuni ya mtandao wa Smile ambayo imefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock SM-LT300 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Mahitaji
- Computer
- Driver
- Firmware
Namna ya kuunlock SM-LT300 Smile 4G LTE
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka router yako ya SM LT 300 Smile kwenye computer
3. Install SM-LT300 driver kwenye computer yako
4. Run SM-LT300 Unlocked firmware
5. Bonyeza Start
6. Iache mpaka imalize yenyewe
7. Bonyeza Finish.
Mahitaji
- Computer
- Driver
- Firmware
Namna ya kuunlock SM-LT300 Smile 4G LTE
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka router yako ya SM LT 300 Smile kwenye computer
3. Install SM-LT300 driver kwenye computer yako
4. Run SM-LT300 Unlocked firmware
5. Bonyeza Start
6. Iache mpaka imalize yenyewe
7. Bonyeza Finish.
Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock SM-LT300 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule
Tags: Namna ya kuunlock LT300 Smile, jinsi ya kuunlock SM-LT300 Smile, Namna ya kuunlock SM-300 Smile, How to LT300 Smile, how to unlock SM-LT300 Smile, how to unlock SM 300 Smile, download firmware for SM-LT300 Smile, SM-LT300 Firmware, namna ya kufungua SM-LT300
Post a Comment