Jinsi ya kuunlock Alcatel Y850V itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Y850V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Y850V itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y850V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

No comments