Jinsi ya kuunlock Alcatel L850V & L850 itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel L850V & L850 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel L850V & L850 itumie mitandao yote
1. Insert SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch L850V & L850 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock L850V & L850 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel L850V & L850 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch L850V & L850, jinsi ya kuunlock Alcatel L850V / L850 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel L850V / L850 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel L850V & L850 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya L850V / L850 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya L850V / L850, namna ya kuunlock Alcatel onetouch L850V & L850, how to unlock Alcatel L850V / L850, how to unlock L850V / L850, how to unlock Alcatel onetouch L850V & L850, how to unlock Alcatel L850V & L850, how to unlock Alcatel onetouch L850V & L850
Post a Comment