Namna ya kuunlock E220 Airtel Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E220 Zain Tanzania ambayo inakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E220 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock Huawei E220 Zain Tanzania itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Soma maelezo yaliyopo kwenye PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei E220 Zain Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Tags: Jinsi ya kuunlock E220 Zain itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E220 Zain Tanzania itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Huawei E220 Airtel Tanzania, namna ya kuunlock E220 Airtel Tanzania, namna ya kufungua E220 Zain itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Huawei E220 Airtel Tanzania, jinsi ya kuunlock E220 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E220 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua E220 itumie mitandao yote, how to unlock E220, how to Huawei E220, how to unlock E220 Zain Tanzania, how to unlock Huawei E220 Zain Tanzania, how to unlock E220 Airtel Tanzania, how to unlock Huawei E220 Airtel Tanzania, download Huawei E220 firmware. download E220 Airtel Tanzania firmware, download Huawei E220 Airtel Tanzania, jinsi ya kuunlock modem ya Huawei E220 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya E220 Zain itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya E220 Airtel itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock modem ya Huawei E220 Zain itumie mitandao yote

No comments