Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V Telkom Kenya itumie mitandao yote
Hii ni mifi router ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Telkom Kenya inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine itakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel MW40V Telkom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel MW40V Telkom Kenya itumie mitandao yote
1. Insert SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa wifi
3. Itafunguka browser
4. Jaza User name na password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock router yako ya MW40V Telkom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment