Jinsi ya kuunlock E8372h-608 Telstra itumie mitandao yote
Hii ni modem iliyofungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Telstra kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E8372h-608 Telstra na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka kulingana na mahitaji yako
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E8372h-608 Telstra itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer haina SIM Card ya mtandao mwingine. Ikifunguka browser, ifunge. Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye USB Port kwenye computer yako.
2. Install Huawei Data Card driver kwenye computer yako ili kupata drivers za modem yako
3. Run Universal Master Code, Bonyeza kwenye Huawei Tab, weka IMEI za modem yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code
4 . Run Huawei E8372h-608 Telstra downgrade firmware. Bonyeza Start. Ikiomba Password, weka za Flash Code kisha bonyeza Ok. Iache mpaka imalize yenyewe, ikimaliza, bonyeza Finish
5. Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass. Utaletewa taarifa za modem yako. Mwisho mwa hizo taarifa, weka hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kwenye keyboard ya computer yako.
Ikigoma, fanya hivi
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga Tab ya Huawei dashboard kwenye browser yako
- Chomoa modem yako kwenye computer kisha chomeka tena. Endelea na hatua namba 5
6. Utaletewa NV Harsh code. Kama hivi
Nitumie NV Harsh Code kwa SMS, WhatsApp & Telegram +255767434014 kupata NCK Code
7. Run Huawei E8372h-608 Telstra Upgrade firmware. Bonyeza Start kisha Next iache mpaka imalize. Bonyeza Finish
8. Chomoa modem yako kwenye computer. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka kwenye computer
9. Itafunguka browser yenye address hii "192.168.8.1"
10. Weka User name na "Password" kisha bonyeza "Log In" ambazo ni admin kwa zote
11. Weka NCK code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E8372h-608 Telstra na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Tags: Jinsi ya kuunlock E8372h-608 Telstra, jinsi ya kuunlock Huawei E8372h-608 Telstra, jinsi ya kufungua E8372h-608 Telstra, jinsi ya kufungua Huawei E8372h-608 Telstra, download firmware for E8372h-608 Telstra, download firmware for Huawei E8372h-608 Telstra, download E8372h-608 Telstra, download Huawei E8372h-608 Telstra firmware

Post a Comment