Jinsi ya kuunlock Alcatel Y800z & Y800 tumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja. Ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel Y800z & Y800
na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Y800z & Y800 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Y800z & Y800 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Post a Comment