Jinsi ya kuunlock M022T Vida Airtel Zambia

Hii ni router ya Home Internet 4G iliyofungwa na mtandao wa Airtel ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuletea ujumbe wa Device Locked

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock M022T Vida Airtel Zambia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule kulingana na mahitaji yako.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock M022T Vida Airtel Zambia mtandao wowote
1. Install M022T Vida driver kwenye computer yako
2. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
3. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable
4. Run M022T Vida unlocked firmware. Bonyeza Start >>>> Next kisha iache mpaka imalizike. Ikimaliza, bonyeza Finish

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock M022T Vida Airtel Zambia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

 
Tags: Jinsi ya kuunlock M022T Vida Airtel Zambia, Jinsi ya kuunlock Mifi M022T Vida Airtel Zambia, namna ya kufungua M022T Vida Airtel Zambia itumie mitandao yote, namna ya kufungua MIFI M022T Vida Airtel Zambia, Namna ya kufungua M022T Vida Airtel Zambia, how to unlock M022T Vida Airtel Zambia, how to unlock 4G LTE M022T Vida Airtel Zambia, how to unlock MIFI M022T Vida Airtel Zambia, Download M022T Airtel firmware, Download M022T Firmware, Download firmware for M022T Vida Airtel Zambia

No comments