Jinsi ya kuunlock E5573Cs-322 MTN itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa MTN na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E5573Cs-322 MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E5573Cs-322 MTN itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei E5573Cs-322 MTN unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E5573Cs-322 MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock E5573Cs-322 MTN, Jinsi ya kuunlock Huawei E5573Cs-322 MTN, namna ya kufungua E5573Cs-322 MTN itumie mitandao yote, namna ya kufungua E5573Cs-322 MTN, Namna ya kufungua E5573Cs-322 MTN, how to unlock E5573Cs-322 MTN, how to unlock E5573Cs-322 MTN, how to unlock E5573Cs-322, Download E5573Cs-322 firmware, Download Huawei E5573Cs-322 MTN Firmware, Download firmware for E5573Cs-322 MTN

No comments