Umuhimu wa kutumia Blogger Template Premium kwenye Blog yako
Blogger Template Premium ni kama nyumba nzuri inayopendeza kimuonekano na kila mtu humvutia machoni kwahiyo unapotumia Premium template ni rahisi kupata watembeleaji wengi kwasababu ni rahisi post zako kuonekana kwenye Search Engine zote kama vile Google, Yahoo, Bing na zingine kwasababu wanaangalia muonekano mzuri wa blog yako na maudhui na huwezi kupata muonekano mzuri wa blog yako kama hautumii Premium template
Blogger Template Premium ni nini?
Ni template ambayo inafeature zote zilizowekwa na developer ili kukidhi mahitaji ya blogger mtandaoni.
- Ina muonekano mzuri na unavutia
- Utaweza kuitengeneza vile unavyotaka wewe kama vile kuweka Footer Credits (Copyright © 2019 Fahusvera All Right Reserved) n.k
- Utapata watembeleaje wengi kwenye blog yako kwasababu ni rahisi post zako kuonekana kwenye Search Engine
- Utaweza kuitumia vile unavyotaka
- Ni rahisi kukubaliwa na makampuni ya Ads Network kama Google Adsense, Propeller, RevenueHits n.k
Blogger wengi wanatumia Free Blogger Template (DEMO) ambayo ipo unlimited ambayo hautaweza
- Kupata watembeleaji wengi kwasababu baadhi ya post hazitaonekana kwenye search engine. Post zipo lakini hazionekani kwenye search engine hata ukiitafuta
mtandaoni kwa jina la post yako itakuletea post zingine kwenye website zingine
- Hautaweza kutoa Footer Credit na kuweka yako
- Itakuwa na muonekano mbaya
- Hautaweza kukubaliwa na makampuni ya Ads Network kama vile Google Adsense, RevenueHits n.k
- Baadhi ya picha au video hazitaonekana kwenye blog yako
- Baadhi ya post hazitaoneka kwenye Search Engine n.k
Free Blogger Template (DEMO) haikupi matokeo mazuri siku zote kwenye ulimwengu wa making money online kwasababu ya watembeleaje wachache. Kutumia Free Blogger template ni sawa unataka kwenda Dar es Salama halafu upo Mwanza na unaelekea Dar es salaam, unaamua kutembea kwa miguu kutoka Mwanza kwenda Dar es salaam.
Tofauti kati ya Premium Template na Free Template (DEMO)
Kama Blogger ili upate watembeleaji wengi na utengeneze pesa nyingi mtandaoni lazima utumie Premium Template ambazo zinauzwa kwenye website mbalimbali. Leo nakuletea bure Blogger Template Premium ambayo utaitumia kwenye blog yako. Unapotumia Blogger Template Premium utaweza pata watembeleaji wengi sana na pia utaweza kukubaliwa na Google Adsense kwa urahisi sana.
Blogger Template Premium gani ni nzuri kwa Blog yangu?
Template nzuri ni za Mag ambazo ni rahisi kuitumia, ni nyepesi, inamuonekano mzuri, zina front nzuri na utaiweka vile unavyotaka.
Templates za Mag zipo nyingi sana mtandaoni ila mimi nitakupa ya MagtiMate Blogger Template Premium Version
Blogger Template Premium gani nzuri kwa matangazo ya Google Adsense?
Ni Template za Mag ambazo zipo nyingi mtandaoni ambazo zina majina tofauti tofauti ila mimi nitakupa bure na utaweza kuitumia kwenye blog yako
MagtiMate Blogger Template Premium Version
Ni moja ya blogger nzuri sana ambayo nimeitumia na nimeipenda hata wewe utaipenda pia kwasababu ina muonekano mzuri na unaweza kuitumia vile utakavyo. Mfano mzuri angalia hii blog yangu inayotumia MagtiMate template premium.
Pakua MagtiMate Blogger Template Premium Version
Post a Comment