Jinsi ya kuunlock E3372h-153 Mtel A1 itumie mtandao wowote

Hii ni modem iliyofungwa ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inaomba SIMLOCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E3372h-153 Mtel A1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi


Namna ya kuunlock Huawei E3372h-153 Mtel A1 itumie mitandao yote
1. Install Huawei Driver kwenye computer yako HUAWEI_DataCard_Driver_6.00.08.00_Setup & Mobile Broadband HL Service

Soma
Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass, ikileta taarifa za modem yako. Anzia hatua namba 1, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11 & 12

Isipoleta taarifa za modem yako anzia hatua 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11 & 12

2. Fungua Modem yako ya Huawei E3372h-153 Mtel A1 kwa Screw Driver. Kisha piga shot kwa kugusanisha hizi point huku umechomeka kwenye computer yako. Itadetect na COM Port za modem yako itaonekana. Ikifunguka browser ya router yako ifunge.

3. Run Balong USB Downloader kisha bonyeza Detect. Com Port ya Modem yako itaonekana. Bonyeza kwenye vidoti vitatu kwenye Load 

Chagua usbloader.bin kisha bonyeza Open

Bonyeza Load, ikimalizika, funga Balong USB Downloader Tool

4. Run Universal Master Code, bonyeza kwenye Huawei Tab, weka IMEI za modem yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code

5. Run Huawei E3372h-153 Mtel Downgrade Firmware kisha bonyeza start. Itaomba password, weka za flash code ulizozipata hatua namba 4 kisha bonyeza Ok. Iache mpaka imalizike kisha bonyeza Finish

6. Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass. Utaletewa taarifa za modem yako. Mwisho mwa hizo taarifa, weka hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kwenye keyboard ya computer yako.

Ikigoma, fanya hivi
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga Tab ya Huawei dashboard kwenye browser yako
- Chomoa modem yako kwenye computer kisha chomeka tena. Endelea na hatua namba 6

7. Utaletewa NV Harsh code. Kama hivi
Nitumie NV Harsh Code kwa SMS, WhatsApp au Telegram +255767434014 kupata NCK Code

8. Run Huawei E3372h-153 Mtel Upgrade firmware. Bonyeza Start kisha Next iache mpaka imalize. Bonyeza Finish
9. Chomoa modem yako kwenye computer. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka kwenye computer

10. Itafunguka browser yenye address hii "192.168.8.1"

11. Weka User name na "Password" kisha bonyeza "Log In" ambazo ni admin kwa zote

12. Weka NCK code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E3372h-153 Mtel A1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Tags: Jinsi ya kuunlock E3372h-153 Mtel A1, jinsi ya kuunlock Huawei E3372h-153 Mtel A1, jinsi ya kufungua E3372h-153 Mtel A1, jinsi ya kufungua Huawei E3372h-153 Mtel A1, download firmware for E3372h-153 Mtel A1, download firmware for Huawei E3372h-153 Mtel A1, download E3372h-153 Mtel A1, download Huawei E3372h-153 Mtel A1 firmware

No comments