Namna ya kuunlock E153 itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E153 ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuandikia invalid SIM Card

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E153 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E153 itumie mtandao wowote
A. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
B. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
C. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
D. Soma maelezo yaliyopo ya PDF kwenye File 

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E153 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags: Jinsi ya kuunlock E153 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E153 itumie mitandao yote, namna ya kufungua E153 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Huawei 153 itumie mtandao wowote, how to unlock huawei E153, how to unlock E153, download Huawei E153 Firmware, Download Firmware for Huawei E153, Download Firmware for E153

No comments