Jinsi ya kuunlock BlackBerry 8330 itumie mitandao yote

Hii ni simu ya BlackBerry ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry 8330 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock BlackBerry 8330 itumie mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Nenda Settings >>>>> Security & Privacy >>>>> 
SIM Card
3. Bonyeza Unlock Network
4. Weka NCK code ulizotumiwa kisha bonyeza OK

Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya Blackberry 8330 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: jinsi ya kuunlock Blackberry 8330, namna ya kufungua simu ya Blackberry 8330, jinsi ya kuunlock simu ya Blackberry 8330, how to unlock Blackberry 8330 by IMEI Number, how to unlock Blackberry 8330 by Code, how to unlock 8330 by NCK Code

No comments