Jinsi ya kuunlock BlackBerry 6750 itumie mitandao yote
Hii ni simu ya BlackBerry ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry 6750 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock BlackBerry 6750 itumie mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Nenda Settings >>>>> Security & Privacy >>>>> SIM Card
3. Bonyeza Unlock Network
4. Weka NCK code ulizotumiwa kisha bonyeza OK
Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya Blackberry 6750 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment