Jinsi ya kuunlock ZTE MF927U Liquid itumie mitandao yote

Hii ni router inayotumia mtandao mmoja wa Liquid ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF927U Liquid na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock ZTE MF927U Liquid itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install MF927U Driver kwenye computer yako
3. Run ZTE MF927U Liquid unlocked Firmware, bonyeza start
4. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF927U Liquid na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF927U Liquid, jinsi ya kuunlock Liquid ZTE MF927U, jinsi ya kufungua ZTE MF927U Smile, jinsi ya kufungua Liquid ZTE MF927U, download firmware for ZTE MF927U Liquid, download firmware for Liquid ZTE MF927U, download ZTE MF927U Liquid, download ZTE MF927U Liquid firmware, how to unlock ZTE MF927U, how to unlock Liquid ZTE MF927U, how to unlock ZTE MF927U Liquid

No comments