Jinsi ya kuunlock B315s-22 MTN Ghana itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa MTN Ghana na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei B315s-22 MTN Ghana na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei B315s-22 MTN Ghana
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei B315s-22 MTN Ghana unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock B315s-22 MTN Ghana na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Tags: Jinsi ya kuunlock B315s-22 MTN Ghana, Jinsi ya kuunlock Huawei B315s-22 MTN Ghana, namna ya kufungua B315s-22 MTN Ghana itumie mitandao yote, namna ya kufungua B315s-22 MTN Ghana, Namna ya kufungua B315s-22 MTN Ghana, how to unlock B315s-22 MTN Ghana, how to unlock Huawei B315s-22 MTN Ghana, how to unlock B315s-22 MTN Ghana, Download B315s-22 firmware, Download B315s-22 MTN Ghana Firmware, Download firmware for B315s-22 MTN Ghana

Post a Comment