Jinsi ya kuunlock E5180s-22 LTE Cube itumie mitandao yote
Hii ni wifi router iliyofungwa ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja ambapo ukiweka laini ya mtandao mwingine inaomba SIM LOCK Code
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya Kuunlock Huawei LTE Cube E5180s-22 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Connect Wifi kwenye computer yako, itafungua browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp
ikishindwa kufungua kwenye browser yako fungua address hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html
- Andika User Name na Password kisha bonyeza kitufe cha Log in
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5180s-22 na utaweza kutumia SIM Card ya mitandao mingine.
Tags: Jinsi ya kuunlock Huawei LTE Cube E5180s-22 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock Huawei E5180s-22 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock E5180s-22 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Huawei E5180s-22 LTE Cube, namna ya kufungua E5180s-22 LTE Cube, namna ya kufungua Huawei E5180s-22, jinsi ya kufungua LTE Cube E5180s-22 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock router ya Huawei E5180s-22 itumie mitandao yote, namna ya kufungua router ya E5180s-22 itumie mtandao wowote, how to unlock Huawei E5180s-22, how to unlock Huawei E5180s-22 LTE Cube, how to unlock E5180s-22, how to unlock LTE Cube E5180s-22, how to unlock E5180s-22 by Code, how to unlock E5180s-22 by IMEI, how to unlock Huawei E5180s-22, how to unlock E5180s-22 LTE Cube, how to unlock Huawei E5180s-22 LTE Cube, download E5180s-22 firmware, download Huawei E5180s-22 firmware, download Huawei E5180s-22 LTE Cube firmware
Read more >>>>> Namna ya kuunlock Alcatel OT-209, OT-305 & OT-V555
Post a Comment