Jinsi ya kutengeneza channel ya YouTube inayovutia - Hatua kwa hatua

Kutokana na watu kupata shida katika kutengeneza channel ya YouTube, nimekuandikia kitabu ambacho kitakusaidia kutengeneza channel ya YouTube nzuri na inayovutia

Kwa kutumia kitabu hiki
- Utaweza kutengeneza channel ya YouTube. Angalia YouTube Channel Yangu HAPA Mundeba TV

- Utaweza kujua Software zinazotumika kutengeneza video
- Utaweza kujua software zinazotumia ku-edit video
- Utaweza kujua software zitakazokusaidia kuweka watermark kwenye video zako
- Utaweza kujua jinsi ya kuunganisha video zaidi ya moja
- Utaweza kujua kuweka maandishi kwenye video
- Utaweza kutengeneza thumbnails (picha inayowekwa kwenye video) kama hivi

Na mambo mengine yanayohusu channel ya YouTube, yote utayasoma kwenye kitabu

Unaweza kutengeneza hela kupitia YouTube kwa
 - Kujiunga na matangazo ya YouTube ambapo lazima uwe na Subscribers 1000 (1K) na Watch Hours 4000 (4K)
 - Kutoa huduma kama mimi ya kuunlock simu, modem & router
 - Kuonesha matangazo ya watu mbalimbali kwenye video zako, mtu anauza nguo au simu kwahiyo utaweka video zinaonesha nguo au simu pamoja na bei zake kwahiyo watu watakulipa hata kwa matangazo ya makampuni mengine unaweza kuonesha
- Kuonesha kazi zako mfano;

A. Wewe ni fundi ujenzi, unaweka video zinaonesha nyumba ulizozijenga kwahiyo watu watapendezwa na kazi yako na wataanza kukupigia simu ili ukawajengee nyumba

B. Wewe ni Sonara, utaonesha vito vya thamani kama pete, mikufu na bangili ulizozitengeneza na watu wataanza kukupigia simu wakihitaji huduma yako
C. Wewe ni Cameraman utaweka video au picha za kazi zako na watu wataanza kukutafuta wakihitaji huduma yako

C. Unauza nguo, simu au nafaka kwahiyo utaweka video zinaonesha bidhaa zako na watu watakutafuta wakihitaji bidhaa zako

Muhimu
Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (Editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera Call, SMS, WhatsApp au Telegram +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa

Tags: Jinsi ya kutengeneza YouTube Channel, Jinsi ya kupata watch hours 4000, jinsi ya kufuta YouTube Channel, Jinsi ya kutengeneza video, jinsi ya kuweka video YouTube, jinsi ya kutengeneza thumbnails, jinsi ya kutengeneza thumbnail, jinsi ya kuweka thumbnail kwenye video YouTube, jinsi ya kuweka thumbnails kwenye video YouTube, jinsi ya kubadilisha jina la channel YouTube, jinsi ya kuweka watermark YouTube, jinsi ya kuweka watermark kwenye video za YouTube, software muhimu za kuedit video kwenye channel ya YouTube, jinsi ya kuweka maandishi kwenye video, program muhimu za kuedit video kwenye channel ya YouTube, Application muhimu za kuedit video kwenye channel ya YouTube, application za kurecord screen ya simu yako, program za kurecord screen ya simu yako, software za kurecord screen ya computer yako, program za kurecord screen ya computer yako, Laptop, android, iPhone, jinsi ya kutengeneza channel ya YouTube ya kulipwa, tengeneza hela na YouTube, pata matangazo ya kulipwa kwenye channel yako ya YouTube

Read more >>>> Namna ya kupata Subscribers 1000 kwenye channel yako ya YouTube kwa urahisi

No comments