Jinsi ya kuunlock Alcatel L850V Telenor itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel L850V Telenor HU na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel L850V Telenor itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch L850V Telenor HU na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock L850V Telenor HU itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel L850V Telenor HU itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch L850V Telenor HU, jinsi ya kuunlock Alcatel L850V Telenor HU itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel L850V Telenor HU itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel L850V Telenor HU itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya L850V Telenor HU itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya L850V Telenor HU, namna ya kuunlock Alcatel onetouch L850V Telenor HU, how to unlock Alcatel L850V Telenor HU, how to unlock L850V Telenor HU, how to unlock Alcatel onetouch L850V Telenor HU, how to unlock Alcatel L850V Telenor HU, how to unlock Alcatel onetouch L850V Telenor HU

No comments