Jinsi ya kuunlock Alcatel X500Y itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja. Ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Alcatel X500Y na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel X500Y itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako kisha washa
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel X500Y na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

No comments