Jinsi ya kuunlock 4G LTE mFi_0436F6 Halotel Tanzania

Hii ni router ya Halotel Tanzania toleo jipya ambalo linakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Halotel. Ukijaribu kuweka laini ya mtandao mwingine inakuandikia Device Locked

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya 4G LTE mFi_0436F6 Halotel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Mahitaji
- 4G LTE mFi_0436F6 unlocked firmware
- Flash tool
- Drivers

Zingatia
- Hakikisha battery ya router yako ina chaji 50%
- Usichomeke kifaa kingine kwenye port za computer yako isipokuwa router ya 4G LTE mFi_0436F6 Halotel
- Usizime computer au kuchomoa router yako wakati wa kuunlock

Namna ya kuunlock 4G LTE mFi_0436F6 Halotel itumie mtandao wowote
1. Install mFi_0436F6 drivers kwenye computer yako
2. Weka laini tofauti na Halotel kwenye router yako kisha iwashe siyo lazima uweke laini
3. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable
4. Run 4G LTE mFi_0436F6 unlocked firmware kisha bonyeza start. Iache mpaka imalize ikimaliza bonyeza Finish
5. Chomoa router yako kwenye computer, weka SIM Card ya mtandao wowote kisha washa. 

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umeweza kuunlock router yako ya 4G LTE mFi_0436F6 Halotel Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka

Tags: jinsi ya kuunlock mFi_0436F6 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Halotel mFi_0436F6 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock mFi_0436F6 Halotel Tanzania, jinsi ya kuunlock mFi_0436F6 4G LTE Halotel itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Halotel 4G mFi_0436F6 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock Halotel Tanzania 4G LTE mFi_0436F6 itumie mtandao wowote, jinsi ya kufungua mFi_0436F6 itumie mitandao yote, namna ya kufungua Halotel mFi_0436F6, jinsi ya kufungua mFi_0436F6 Halotel Tanzania, namna ya kufungua Halotel 4G LTE mFi_0436F6 itumie mitandao yote, how to unlock mFi_0436F6, how to unlock mFi_0436F6 Halotel Tanzania, how to unlock Halotel 4G LTE mFi_0436F6, how to unlock Halotel Tanzania mFi_0436F6, how to unlock Halotel mFi 0436F6, how to unlock mFi 0436F6 Halotel, how to unlock 4G LTE mFi_0436F6 Halotel Tanzania, download mFi_0436F6 firmware, download mFi_0436F6 Halotel firmware

No comments