Jinsi ya kuunlock Alcatel L800 & L800z 4G LTE itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel L800 & L800z na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel L800 & L800z itumie mitandao yote
1. Insert SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch L800 & L800z na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments