Jinsi ya kuunlock Alcatel X220S itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X220S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel X220S itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X220S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 Tags: Jinsi ya kuunlock X220S itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X220S itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X220S, jinsi ya kuunlock Alcatel X220S itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X220S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X220S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X220S itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X220S, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X220S, how to unlock Alcatel X220S, how to unlock X220S, how to unlock Alcatel onetouch X220S, how to unlock Alcatel X220S, how to unlock Alcatel onetouch X220S

No comments