Jinsi ya kuunlock ZTE MF112 itumie mitandao yote

Hii ni modem inayotumia mtandao mmoja ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF112 na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Mahitaji
- ZTE MF112 Unlocked Firmware
- ZTE MF112 Driver
- USB Cable
- PC

Namna ya kuunlock MF112 itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF112 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF112 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF112, jinsi ya kuunlock MF112, jinsi ya kufungua ZTE MF112, jinsi ya kufungua MF112, download firmware for MF112, download firmware for ZTE MF112, download ZTE MF112 Firmware, download MF112, how to unlock ZTE MF112, how to unlock MF112

No comments