Jinsi ya kuunlock Alcatel X230E itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X230E na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X230E itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X230E na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X230E itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X230E itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X230E, jinsi ya kuunlock Alcatel X230E itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X230E itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X230E itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X230E itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X230E, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X230E, how to unlock Alcatel X230E, how to unlock X230E, how to unlock Alcatel onetouch X230E, how to unlock Alcatel X230E, how to unlock Alcatel onetouch X230E
Post a Comment