Jinsi ya kuunlock Alcatel X210X itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X210X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X210X itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X210X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags:
Jinsi ya kuunlock X210X itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock
Alcatel X210X itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch
X210X, jinsi ya kuunlock Alcatel X210X itumie mtandao wowote, namna ya
kufungua Alcatel X210X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel
X210X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X210X itumie
mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X210X, namna ya kuunlock
Alcatel onetouch X210X, how to unlock Alcatel X210X, how to unlock
X210X, how to unlock Alcatel onetouch X210X, how to unlock Alcatel
X210X, how to unlock Alcatel onetouch X210X

Post a Comment