Jinsi ya kuunlock Alcatel X230X itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X230X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X230X itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X230X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock Alcatel X230X itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X230X itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X230Y, jinsi ya kuunlock Alcatel X230X itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X230X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X230X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X230X itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X230X, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X230X, how to unlock Alcatel X230X, how to unlock X230X, how to unlock Alcatel onetouch X230X, how to unlock Alcatel X230X, how to unlock Alcatel onetouch X230X
Post a Comment