Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40CJ & MW40 itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel MW40CJ & MW40 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel MW40CJ & MW40 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel MW40CJ & MW40 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock MW40CJ / MW40 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel MW40CJ / MW40 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch MW40CJ / MW40, jinsi ya kuunlock Alcatel MW40CJ & MW40 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel MW40CJ & MW40 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel MW40CJ & MW40 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya MW40CJ & MW40 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya MW40CJ / MW40, namna ya kuunlock Alcatel onetouch MW40CJ / MW40, how to unlock Alcatel MW40CJ & MW40, how to unlock MW40CJ & MW40, how to unlock Alcatel onetouch MW40CJMWV0CJ / MW40, how to unlock Alcatel MW40CJ / MW40, how to unlock Alcatel onetouch MW40CJ & MW40

No comments