Jinsi ya kudownload software za kulipia bure za Simu, Computer na Macbook - Kitabu
Kuna baadhi ya watu huangaika kupata software za Computer Windows, Macbook na application za simu mtandaoni. Kupitia kitabu hiki utaweza:-
- Kudownload Application za simu mbalimbali za kulipia bure kutoka Playstore kama vile Kinemaster, Jet Audio pro, Poweramp, WPS Office, Tuneln Radio Pro, Du Rec Editor na Application zingine nyingi bure
- Utaweza kudownload Software (Programu) za kulipia bure za Computer na Macbook kama vile Adobe Photoshop, Windows, Movavi Video Editor, µTorrent n.k pamoja na serial key zake bure.
Ukitembeleaa baadhi ya mitandao ya kijamii utakutana na hizi comment za watu wakiomba software mbalimbali za simu na computer. Baada ya kusoma kitabu hiki hautaweza kujiuliza haya maswali tena
Mwingine
Mwingine
Mwingine
- Kupitia kitabu hiki utaweza kupakua Application zinazouzwa Playstore bure
- Utaweza kupakua programu za Computer na Macbook bure pamoja na serial key zake
Baada ya kupakua na kusoma kitabu hiki, hautangaika tena kuwauliza wenzako sehemu ya kupakua Application za simu za kulipia bure na za computer na Macbook bure pamoja na serial key zake. Ni wewe na bando lako la internet tu. Utapata Application yoyote ile unayohitaji bure, pia utapakua software (Program) za computer na macbook bure pamoja na serial key zake.
Muhimu
Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (Editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa
Post a Comment