Jinsi ya kuunlock simu ya Pantech itumie mtandao wowote

Hizi ni simu zilizofungwa na makampuni ya simu ili ziweze kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inaomba SIM LOCK CODE.

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock
- Pantech P9060
- Pantech P9070
- Pantech P1010
- Pantech P2000 Breeze
- Pantech P2020 Ease
- Pantech P5000
- Pantech P7040 Link
- Pantech P7000 Impact
- Pantech P8000 Crossover Android
- Pantech P9020 Presuit
- Pantech P9050 Laser
- Pantech P6010
- Pantech P2030 Breeze III
- Pantech P7040P
- Pantech C3
- Pantech C510
- Pantech C600
- Pantech C610
- Pantech C630
- Pantech C740 Matrix
- Pantech C790 Alladin-Duo
- Pantech C810 Duo
- Pantech C820 Matrix Pro

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock simu ya Pantech AT & T itumie mtandao wowote

1. Weka SIM Card ya mtandao wowote ule

2. Itakuomba SIM LOCK Code, weka NCK Code nilizokutumia kisha bonyeza OK. Simu yako itafunguka na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments