Jinsi ya kuunlock ZTE MF937 Jazz itumie mitandao yote

Hii ni router inayotumia mtandao mmoja wa Jazz ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF937 Jazz na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock ZTE MF937 Jazz itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install MF937 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF937 Jazz na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF937 Jazz, jinsi ya kuunlock Jazz ZTE MF937, jinsi ya kufungua MF937 Jazz, jinsi ya kufungua Jazz ZTE MF937, download firmware for ZTE MF937 Jazz, download firmware for Jazz ZTE MF937, download ZTE MF937 Jazz, download MF937 Jazz firmware, how to unlock MF937 Jazz, how to unlock Jazz ZTE MF937

No comments