Jinsi ya kuunlock Alcatel X602D Safaricom Kenya
Hii ni modem ya Alcatel X602D ya Safaricom Kenya ambayo inatumia SIM Card wa Safaricom Kenya tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuomba 8 digits NCK unlock Code
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X602D Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Alcatel onetouch X602D Safaricom Kenya
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall driver za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Run Alcatel X602D Safaricom unlocked firmware
5. Soma maelezo yaliyopo kwenye File

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Alcatel X602D Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Tags: Jinsi ya kuunlock Alcatel X602D Safaricom Kenya, Jinsi ya kuunlock Alcatel Onetouch X602D Safaricom Kenya, Jinsi ya kuunlock Alcatel Onetouch Modem X602D Safaricom Kenya, namna ya kufungua Alcatel X602D Safaricom Kenya itumie mitandao yote, namna ya kufungua Alcatel Onetouch X602D Safaricom Kenya, Namna ya kufungua Alcatel Onetouch Modem X602D Safaricom Kenya, how to unlock Alcatel X602D Safaricom Kenya, how to unlock Alcatel Onetouch X602D Safaricom Kenya, how to unlock Alcatel Onetouch Modem X602D Safaricom Kenya, Download Alcatel Onetouch Modem X602D Safaricom Kenya firmware, Download Alcatel X602D Firmware, Download firmware for Alcatel X602D Safaricom Kenya
Post a Comment