Jinsi ya kuunlock E303v-1 Etisalat itumie mitandao yote
Hii ni modem ya Huawei E303V-1 ya mtandao wa Etisalat ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E303V-1 Etisalat na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei E303V-1 Etisalat itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In
4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E303V-1 Etisalat na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment