Jinsi ya kuunlock Huawei E303 Zantel Tanzania
Hii ni modem ya Huawei E303 Zantel Tanzania ambayo inatumia SIM Card wa Zantel Tanzania tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E303 Zantel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock E303 Zantel Tanzania itumie mitanda yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Run SBC Code Calculator, Bonyeza Huawei Tab kisha weka IMEI za modem yako ambazo ni tarakimu 15, bonyeza Calculate kupata Flash Code. Nukuu Flash Code
5. Run E303 Zantel Downgrade Unlocked Firmware, bonyeza Start, Itaanza ku-find Port kisha itaomba Password. Weka za Flash Code kisha bonyeza OK, iache mpaka imalize yenyewe. Ikimaliza bonyeza Finish
6. Run E303 Zantel Upgrage unlocked Firmware, bonyeza Start kisha bonyeza Next. Iache mpaka imalize. Ikimaliza bonyeza Finish
11. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK

7. Run Huawei Modem Code Writer. Bonyeza kwenye Please Select Com Port
8. Bonyeza kwenye Detect kisha chagua COM Port ya modem yako
9. Bonyeza Accept
10. Bonyeza Unlock Modem
11. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E303 Zantel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Post a Comment