Jinsi ya kuunlock R6601 Halotel Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni router ya kampuni ya Halotel Tanzania ambayo imetengenezwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja tu ambayo ni Halotel. Ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuletea ujumbe wa invalid SIM Card na hautaweza kupata internet.
Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua router ya Halotel Tanzania R6601 na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Halotel R6601 itumie mitandao yote
1. Install Halotel drivers kwenye computer yako. Kama unatumia Windows yenye X32/86 haina haja ya kudisable driver signature enforcement. Ila
kama unatumia Windows yenye X64 inabidi u-disable driver signature enforcement kwenye computer yako. Jinsi ya kuangalia kama unatumia Windows
yenye bit x32 au X64 kwenye computer. Namna ya kudisable driver signature enforcement. Tunainstall drivers ili router yako ya R6601 iweze kutambuliwa
kwenye computer.
2. Hakikisha router yako haina laini yoyote. Iweke router yako kwenye Download mode. Bonyeza kwenye power on / off button, itawaka taa nyekundu3. Soma maelezo ya PDF kwenye file ili uweze kuunlock router yako ya Halotel R6601
Hongera! Mpaka hapa umeweza kuunlock router yako ya R6601 Halotel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Post a Comment