Jinsi ya kuunlock E5573s-320 Mobitel itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Mobitel na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E5573s-320 Mobitel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5573s-320 Mobitel itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Driver
2. Run Huawei E5573s-320 Mobitel unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E5573s-320 Mobitel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Tags: Jinsi ya kuunlock E5573s-320 Mobitel, Jinsi ya kuunlock Huawei E5573s-320 Mobitel, namna ya kufungua E5573s-320 Mobitel itumie mitandao yote, namna ya kufungua E5573s-320 Mobitel, Namna ya kufungua E5573s-320 Mobitel, how to unlock E5573s-320 Mobitel, how to unlock E5573s-320 Mobitel, how to unlock E5573s-320, Download E5573s-320 firmware, Download Huawei E5573s-320 Firmware, Download firmware for E5573s-320 Mobitel
Post a Comment