Jinsi ya kuunlock E8372h-153 Vodafone Egypt itumie mitandao yote

Hii ni modem iliyofungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu Vodafone Egypt wa kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka kulingana na mahitaji yako

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa haina SIM Card ya mtandao wowote. Ikifunguka browser, ifunge. Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye USB Port kwenye computer yako isipokuwa modem yako.

2. Install Huawei DriverSetup na FcSerialDrv kwenye computer yako ili kupata drivers za modem yako

Soma
Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass, ikileta taarifa za modem yako. Anzia hatua namba 1, 2, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12 & 13
Isipoleta taarifa za modem yako anzia hatua 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12 & 13

3. Fungua Modem yako ya Huawei E8372h-153 kwa Screw Driver. Kisha piga shot kwa kugusanisha hizi point huku umechomeka kwenye computer yako. Itadetect na COM Port za modem yako itaonekana. Ikifunguka browser ya router yako ifunge.

4.  A. Run Balong USB Download tool kisha bonyeza Detect kuwezesha COM Port za modem yako.
B. Bonyeza vidoti vitatu kwenye Load
C. Window mpya itafunguka, chagua usbloader.bin kisha bonyeza Open
 
D. Bonyeza Load. Subiri mpaka imalize. Ikimaliza funga Balong USB Download Tool

5. Run Huawei Master Code, Bonyeza kwenye Huawei Tab, weka IMEI za modem yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code
6 . Run Huawei E8372h-153 Vodafone downgrade firmware. Bonyeza Start. Ikiomba Password, weka za Flash Code ulizozipata kwenye Huawei Master Code Calculator Hatua namba 5 kisha bonyeza OK. Iache mpaka imalize yenyewe

7. Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass. Utaletewa taarifa za modem yako. Mwisho mwa hizo taarifa, weka hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kwenye keyboard ya computer yako.
Ikigoma, fanya hivi
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga Tab ya Huawei dashboard kwenye browser yako
- Chomoa modem yako kwenye computer kisha chomeka tena. Endelea na hatua namba 6

8. Utaletewa NV Harsh code. Kama hivi

Nitumie NV Harsh Code kwa SMS, WhatsApp au Telegram +255767434014 kupata NCK Code

9. Run Huawei E8372h-153 Vodafone Upgrade firmware. Bonyeza Start kisha Next iache mpaka imalize. Bonyeza Finish
10. Chomoa modem yako kwenye computer. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka kwenye computer

11. Itafunguka browser yenye address hii "192.168.8.1"

12. Weka User name na "Password" kisha bonyeza "Log In" ambazo ni admin kwa zote

13. Weka NCK code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock E8372h-153 Vodafone Egypt, jinsi ya kuunlock Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt, jinsi ya kufungua E8372h-153 Vodafone Egypt, jinsi ya kufungua Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt, download firmware for E8372h-153 Vodafone Egypt, download firmware for Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt, download E8372h-153 Vodafone Egypt, download Huawei E8372h-153 Vodafone Egypt firmware

No comments