Jinsi ya kuunlock Alcatel OT-103 itumie mitandao yote

Hii ni simu ambayo imefungwa ili utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Alcatel OT-103 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch OT-103 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Washa simu yako
3. Utaletewa ujumbe wa Enter Network Key
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
5. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Alcatel OT-103 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
 

No comments