Jinsi ya kuunlock E5372 Vodafone itumie mitandao yote
Hii ni router inayotumia SIM Card ya Vodafone tu ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia ya hii, utaweza kuunlock Huawei E5372 Vodafone na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5372 Vodafone itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Data card driver kwenye computer yako
2. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card
3. Nukuu IMEI, funua mfuniko wa router au run DC Unlocker as administartor, bonyeza magnifying glass. Utaona IMEI ya router yako.
4. Run Universal Master Code kisha bonyeza Huawei, weka IMEI kisha bonyeza Calculate kupata Flash Code
5. Run E5372 Vodafone unlocked firmware, Bonyeza Start, itaomba password. Weka za flash code ulizozipata kwenye hatua namba 4 kisha bonyeza OK. Subiri mpaka imalize kisha bonyeza Finish
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5372 Vodafone na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

6. Chomoa router yako kwenye computer
7. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
8. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
9. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na paste kwenye browser yoyote ile ya computer yako
> Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5372 Vodafone na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Tags: Jinsi ya kuunlock E5372 Vodafone, jinsi ya kuunlock Huawei E5372 Vodafone, jinsi ya kufungua E5372 Vodafone, jinsi ya kufungua Huawei E5372 Vodafone, download firmware for E5372 Vodafone, download firmware for Huawei E5372 Vodafone, download E5372 Vodafone, download Huawei E5372 Vodafone firmware
Post a Comment