Jinsi ya kuunlock Alcatel EE40VB itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Alcatel EE40VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch EE40VB itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch EE40VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock EE40VB itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel EE40VB itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch EE40VB, jinsi ya kuunlock Alcatel EE40VB itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel EE40VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel EE40VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya EE40VB itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya EE40VB, namna ya kuunlock Alcatel onetouch EE40VB, how to unlock Alcatel EE40VB, how to unlock EE40VB, how to unlock Alcatel onetouch EE40VB, how to unlock Alcatel EE40VB, how to unlock Alcatel onetouch EE40VB

No comments